30 janvier 2016
WEWE NANI? MIMI LUFU LU MWEKA "REQUIEM"
KIFWAFWA SWAHILI Djina lako nani? Umetoka wapi? Nini u na taka? Umeisha kufa tangya zamani? Au onake vizuri! auna na matshozi Auna matshozi.auna uruma Wewe ni nani? Nini una taka Djna ya mama yako nini Muda murefu uko tu. Una dji fitsha Auseme Auko na...